sijui mnmaanisha nini maana ya exposure kwa wagojwa?ninavyoelewa exposure ni juhudi binafsi kwa mwanafunzi kwenda mawodini kupata experience kwa wagonjwa kwa kufundishwa clinical history na physical exam.
jambo lingine exposure inakuwepo kwenye hospital yenye bed capacity kubwa(idadi kubwa ya vitanda),idadi kubwa ya vitanda inaendana na uwezekano mkubwa wa kupata wagonjwa mbalimbali kujifunzia.
1 bed capacity ya muhimbili= 1150
2 bed capacity bugando=950
3 bed capacity kcmc=450
pia inategemeana na exposure inategemeana na uwepo wa walimu wa kutosha, kwa vyuo vyote hivyo wapo walimu wa kutosha,ingawa muhas zaidi lakini wengi wao wamekataa tamaa ya kufundisha tokana na maslahai duni wanaolipwa,but mfano ninavyosikia ila sina hakika cuhas ni moja ya vyuo vinalipa watumishi wake vizuri sana so kwa sasa wapo motivated kufindisha( source my classmate wangu A LEVELni mwajiriwa apo cuhas)
nitarudi baade kuendela kukupa fact
yote kwa yote muhas bado ni chuo kizuri hasa kwa mwanafunzi anayejituma kwa sana,sema waliokuja kuiyumbisha muhas ni kuongeza intake adi wanafunzi zaidi ya 200 wakati hakuna miundombinu ya kutosha kukabiliana na ongezeko hilo imepelekea wanafunzi kusoma kwenye manzigira magumu,the same problem imeikuta cuhas kuongeza adi 150,bila maandalizi ya kutosha ila kwa sasa wamestableze kwa kiasi fulani.
structure ya wards na hospital;mpangilio wa majengo ya hospital na ward pia ni muhimu kwa wanafunzi,majengo ya wards za kcmc na bugando ni bora zaidi,kuliko ya muhimbili yametawanyika sana.
orgaanization ya jengo kuu la hospital ya bugando(teaching hospital)limekaa kwa mpangilio mzuri sana,ward zina space ya kutosha,department zimegawanyika kwa utaratibu mzuri very similar to kcmc.
for my own view mkandarasi aliyejenga majengo ya bugando hospit was the best,lakini ndugu kumbuka elimu siyo majengo.
library sio shinda kabisa,zote ni nzuri kabisa kwa kcmc,muhas na cuhas,ingawa library ya cuhas ni ndogo lakini ina kila kitu ndani(naona cuhas wameanza kujenga complex library yenye thamani ya 4bilion,rais mkapa ni mmoja waliochangia source itv last month)
kwa upande wingi wasenoir lecture na maprofes; hapo muhas wanatisha wamejaa kama nini,kuna watu wanajiita masuper specialist muhas wamejaa kama nini,bugando nina uwakika hawazidi 5,kcmc pia hawawezi zidi 10
nb cha muhimu ni commitment ya hawa watu wengine hawajitumi kabisa kutoa material.
student admissio;muhas kinabaki kuwa chuo pekee cha medicine tz kinachochukua wanafunzi wengi wenye div1 na kiasi fulani div2 (div2point 10)na kwa miaka ya nyuma 90s ata div1 point9 kupata admission haikuwa rahis kwa muhas.
cuhas utapata wachache wa div1,wengi wana div2,na wachache wana3;13,almost similar to kcmc.
hakika ukichukua wanafunzi 100 wa muhas wakasomee bugando watakuwa the best doctors ever,my point is medical student wa bugando wanashindwa kutumia advantage zilizopo kuwa the best,ni wachache walioziona hizo advantage na kuzitumia kuwa best doctor apa tanzania.muhas wengi wanakuwa the best kwa kujituma sana tena kwenye mazingira ambayo kwangu nayaona ni magumu sana.
ubora wa clinical deparment;almost idara zote za clinical muhas wapo vizuri,kcmc orthopedic,ENT,urlogy wapo vizuri sana, bugando=obstetric and gynecolo na inter medicine wanatisha.
ubora wa biomedica science;vyuo vyote vipo vizuri kwa biomedicalscience(masomo ya mwak1&2),ila cuhas washukuru sana muhas kuwasaidia lecturers na proffesor wakati wanaanza adi ivi sasa cuhas wamesimama imara na walimu chungu nzima(kumbuka bugando universty wakati wanaanza walikopy na kupaste kila kitu toka muhas)
all of all kufanikiwa ni juhudi binafsi,
nitarudi baade kukupa fact zaidi including intern.