chuo kinachotoa master's degree mkoani Mtwara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chuo kinachotoa master's degree mkoani Mtwara

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jino kwa jino, May 30, 2012.

 1. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wanafj naomba kufahamishwa kama kuna chuo chochote kinachotoa MBA mkani Mtwara kwa sasa.

  shukrani
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kitokee wap?
   
 3. L

  Likavenga Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kwani huko viliko vyuo vinavyotoa Masters vimetoka wapi ? Wewe mbona kama hamnazo !
   
 4. L

  Likavenga Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kwa sasa hamna chuo kinachotoa Masters zaidi ya Open University of Tanzania yenye tawi lake Mtwara,na hiyo MBA wanayo.
   
 5. K

  Kipilime Senior Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Senetor wewe una virus wa fikra. Katika kila mjadala unaohusu elimu hasa ya juu, unamitazamo negative. Unasafari ndefu sana, badilika.
   
 6. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yaani wewe huna tofauti na yule anayesema jamani nahitaji usafiri wowote ilimradi nifike niendako sababu sina jinsi. Embu jipambanue na uongeze basi chenye sifa, maana mkiambiwa tunahitaji wenye MBA na wewe uwepo, hivi vyeti vyenu hivi kama vya kuna Le Mutuz hapa jamani tutaonana wabaya.
   
 7. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwani bado hujavuna korosho zako?
   
 8. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Haaaa Mtwara NextDream City..... Korosho, mafuta, gesi, bandari!!!!!

  The most expensive city in Tanzania!!!!!!
   
 9. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hizo mali za "Wazungu"Mwafrika hana chake,acha kujifariji!
   
 10. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Muda si mrefu kikundi changu cha waasi kitafanya mapinduzi, ok brazaaaa!!!!!!!
   
 11. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Master ya uvunaji wa korosho na umachinga inatolewa Mtwara mjini!
   
 12. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwani unajua mtwara kuna vyuo vingapi?hebu chunguza.
   
Loading...