Chuo kikuu wanaweza kumpokea kijana bila Results Slip?

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,826
966
Wadau!

Naomba wenye uzoefu waniambie kama itawezekana mtoto kupokelewa Chuo Kikuu mwaka wa Kwanza akiwa hana Cheti cha Matokeo (Results Slip).

Karibuni,

Pigangoma
 
Back
Top Bottom