RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,731
- 11,470
Kwa ukongwe.Respect to Udsm
Kwa ukongwe.Respect to Udsm
Wewe safi..!Swala la Chuo, Degree, Masters, Phd..They are nothing at all, kama havijaweza kubadili maisha yako. Katika Kampuni, Utendaji serikalini, Whatever you are doing....Tunafanya evaluation.
Plan
Do
Check
Act
Kama umesoma Chuo chochote kile duniani hata Harvad, we do not care! We need output! we are less concerned with input, we need performance at work, performance to change your life,
Mnanipa Hasira sana,
Elimu itakuwa haijawasaidia kama Malengo ya hiyo elimu hayajafikiwa, kwa mfano:
Objectives or Goals za elimu ni:
1.Kuondoa ujinga
2.Kupambana na Maradhi
3.Kukusaidia kubadili na kutawala mfumo wa maisha
4.Kuweza kufanya analysis na kutoa majibu sahihi yatakayotusaidia kuondoa au kupunguza matatizo
suggestions:
Wale vipanga wa habari chukueni hii:
Ili elimu ya Tanzania ikidhi mahitaji napendekeza Iuedwe tume ya Elimu kuangalia upya yafuatayo:
1.Kufanya upya tathmini, elimu ya Tanzania kuanzia Kindergaten mpaka University Degree kama Mitaala iliyopo inakidhi soko la ajira, soko la kujiajiri
2.Tume ijifunze Mitaala ya Marekani, China, Israel, Japanese, India..Kuhusu Mitaala yao Juu ya Elimu ili Tuone kama Nchi yetu elimu yake iko wapi mpaka sasa, haiwezekani tuazime wataalamu wa IT au toka Korea kwa ajili ya Matumizi yetu, Siri zetu zitabebwa sasa,
3.Serikali ya Tanzania Itoe Wanafunzi kwenda kusoma at least kila mwaka wanafunzi 500 tu, kwa mfano
kada ya Udaktari Bingwa 100, Utaalamu wa Mawasiliano 100, Engineering 100, Geologist 100, Uhasibu 100
Hii ina maana baada ya Miaka 10, Tutakuwa na wataalamu wasiopungua 5000.
4.Serikali Iwekeze Zaidi katika Mambo ya Gesi na Oil, Madini na Nishati, kwa sababu sekta hii itatusaidia sana siku za usoni, Nina uhakika zaidi ya 70% ya ardhi ya Tanzania ni Rasilimali, yani Madini, na Gesi, Acha MAji ambayo yanaonekana
so tunataka wataalamu wetu.
5.Kila Tunachotaka kukifanya, Nashauri sana Tufanye utafiti wa kutosha ili Tukiamua basi Tufanye angalau mpango wa Miaka 100 ili Tuokoe Vizazi vijavyo zaidi, Mimi nashauri tusibanguane! uwe Mzumbe, Udsm, SUA n.k hivi ni vyuo tu wala havina issue sana na maisha yetu, Acheni hayo mambo! Je waliosoma HARVAD WASEMEJE??
Wa UDSM ni VIPANGAGraduate wa ud wanautofauti gani na graduate wa vyuo vingine?.
Teh niambie wamefanya nini hao graduate VIPANGA wa ud,kitu ambacho hawafanyi wa vyuo vingine.Wa UDSM ni VIPANGA
Nenda google..!Teh niambie wamefanya nini hao graduate VIPANGA wa ud,kitu ambacho hawafanyi wa vyuo vingine.
Unaonekana una msongo wa mawazo! Ulichokiandika, ni uandishi wa kikasuku. Huna facts wala data za kutosha kusema UDSM sio chuo bora TZ.
Inaonekana na chuki binafsi, kama kijana mpenda elimu, na inaonekana una elimu kutoka ivyo vyuo unavyovisifia, jitahidi wanao wapitie UDSM, utakuwa na furaha daima.
Kuhusu miundombinu unayosema ni magofu, sijua n ipi. Hivi majuzi Rais JPM amezindua libary kubwa kabisa Africa, pale Udsm, KABLA ya hii mpya, hata iliyokuwepo, hakuna chuo kinachoweza kufikia. Nayaandika haya, kwa maana nimepata kusoma na kufundisha vyuo vitano hapa TZ.
UDSM itaendelea kuwa chuo tegemezi kwa nchi yetu na vyuo vingine (kwa waajiri wengi), kwa maana ya kuzalisha walimu bora na watendaji bora kwenye taasisi zisizokuwa za elimu.
Teh niambie wamefanya nini hao graduate VIPANGA wa ud,kitu ambacho hawafanyi wa vyuo vingine.
historia inawabebaAhahaaaah...
Acha kufananisha UDSM na mambo ya AJABU mkuu..!
Eti niende google?,kuna haja gani yakwenda google wakati unaweza kutoa ufafanuzi hapahapa ukaeleweka.Nenda google..!
Wewe ni graduate wa wapi?,na wewe simiongoni mwao hao intellectual unaowazungumzia?.nipe darsa mkuu nijue ufanisi wahao wanaomalizia udsm niwatofautishe na vyuo vingine.Watafute graduate wa UDSM, wakueleweshe.. Ur not intelectual enough to understand a simple sentence like that
Na wanaoiongelea UDSM wasitumie exceptional case ya dogo kunyimwa udahili. Nadhani kuna haja ya wanaoiongelea UDOM wawe wanatumia EXCEPTIONAL case ya CIVE katika mabaya yote ya UDOM.
Pole kwa kukosa nafasi UDSM mkuu...Eti niende google?,kuna haja gani yakwenda google wakati unaweza kutoa ufafanuzi hapahapa ukaeleweka.
Mbona kuna jamaa katoa sifa za CIVE humuhumu hajawambia watu waende google.
Inawezekana upo udsm unasoma course ya uogeleaji wewe.
hawa wanasoma kulingana na upepo wa watu wala hawajaifata elimu halisi hapa yakimaliza yanaanza kutapa tapa na competence hamna kaziniEti niende google?,kuna haja gani yakwenda google wakati unaweza kutoa ufafanuzi hapahapa ukaeleweka.
Mbona kuna jamaa katoa sifa za CIVE humuhumu hajawambia watu waende google.
Inawezekana upo udsm unasoma course ya uogeleaji wewe.
wengi wao si watu wazima mkuu 50+ na kuendelea, hawa wamesoma kipindi kile tanzania kuna chuo kimoja ndio maana wanajitapa sana hawajui upepo umebadilika na ushindani upoHahaaaa ukitaka ushambuliwe kwa maneno we kiseme UDSM vibaya uone cha moto, inaonekana walio soma UDSM ni wengi sana humu Jamii forum ndio maana ukikisema tu vibaya watakuja member wengi kukitetea chuo chao cha UDSM
Pole kwa kukosa nafasi UDSM mkuu...
Jitahidi kumuhimiza MDOGO wako asome sana,pia usisahau kumpeleka TUITION...
Ukifanya hayo yote MDOGO wako anaweza akapata nafasi ya kusoma hapa...
La sivyo ataishia kuiona NKURUMAH HALL kwenye noti ya shilingi 500 kama wewe KAKA yake...
Huu MCHEZO hauhitaji HASIRA..!
wewe si unayumbishwa na majengo sisi tunataka elimu banaPole kwa kukosa nafasi UDSM mkuu...
Jitahidi kumuhimiza MDOGO wako asome sana,pia usisahau kumpeleka TUITION...
Ukifanya hayo yote MDOGO wako anaweza akapata nafasi ya kusoma hapa...
La sivyo ataishia kuiona NKURUMAH HALL kwenye noti ya shilingi 500 kama wewe KAKA yake...
Huu MCHEZO hauhitaji HASIRA..!
Mkuu umemkosea sana mdau. ulisoma course gani UDSM?Pole kwa kukosa nafasi UDSM mkuu...
Jitahidi kumuhimiza MDOGO wako asome sana,pia usisahau kumpeleka TUITION...
Ukifanya hayo yote MDOGO wako anaweza akapata nafasi ya kusoma hapa...
La sivyo ataishia kuiona NKURUMAH HALL kwenye noti ya shilingi 500 kama wewe KAKA yake...
Huu MCHEZO hauhitaji HASIRA..!
mkuu kuna uzi mmoja niliukuta humu yani waligpombana sana. wanakwambia ndio sabau vyeti vyao vinaandikwa graduated at university id dar es salaam.Sikutaka kucheka but at last I had to jamani....et ktk not ya mia tano duuu jamaa akirudi tena mbishi .
Alaf naomba kuuliza kwenu wana udsm hivi mtu akisoma UCC branch yoyote ile je Nae ni mwana UDSM au hausiki maana kuna mtu anajitambulisha km mwana udsm lakini alisoma ucc majibu tafadhari