First year wanakuja wengi sana.ndio wamefanya vyumba vipande being.sema sahv hostel zinajengwa nyingi tu huku mitaa ya nyamalangoHahaha
Kwanza room SAUT zimepanda Sanaa room ya laki sita mwaka Jana sasahv laki nane au tisa
Kuanzia laki 4 mkuu mpaka milioni.itategemea na hadhi ya chumba. Nakushauri uwahi mapema maana hostel huwa zinajaa.na ukae mtaa wa nyamalango usikae kwa mashaSamahan wakubwa kwa mwenye kujua bei ya kupanga vyumba mwanza SAUTI mana kukaa hostel hawaruhusu kutumia Pasi wala tv sasa nataka kujua bei ya vyumba ni sh.ngap kwa mwaka yaan ghalama ndogo na kubwa ya chumba ni ni sh.ngapi
ASANTEN
Aende lucheleleKuanzia laki 4 mkuu mpaka milioni.itategemea na hadhi ya chumba. Nakushauri uwahi mapema maana hostel huwa zinajaa.na ukae mtaa wa nyamalango usikae kwa masha
Haha au ngazaAende luchelele
Haha...luchelele akasafirishe mkaa au samakiAende luchelele
Mkuu piga msasa pia uandishi wako usije poteza marks kwa hoja zako kuwasilishwa bila umakini....Samahan wakubwa kwa mwenye kujua bei ya kupanga vyumba mwanza SAUTI mana kukaa hostel hawaruhusu kutumia Pasi wala tv sasa nataka kujua bei ya vyumba ni sh.ngap kwa mwaka yaan ghalama ndogo na kubwa ya chumba ni ni sh.ngapi
ASANTEN
Sawa adminFollow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/HlZqG5j6lNo6vhVMwTCNQT
Join hilo group kwa wenzio
Utapata majibu yote