Chuo kikuu kipi ni bora kuliko vyote kati ya hivi Tanzania?

Kuna vyuo viwili bora hapa Tz navyo ni
1. Ardhi
2. SUA.
Udsm amna kitu chochote. PhD holder anajikanyaga kutumia lugha ya malikia? Kuweni serious kidogo. UDSM kimepitwa na wakati maprofesa wake wamekua wakutoa matamko kama waganga wakienyeji.
 
Inategemea unataka kusoma nn maana kila chuo hapo kimebobea ktk fani tofaut na kama fani ni moja linganisha vyuo vilivyo specialize katika fani moja mfano medicine weka vyuo vyake then ulinganishe

Mfano huwez kulinganisha mzumbe sua na ushirika moshi maana hapo kila chuo ni kizuri ktk fani yake
 
1. UDSM
2. UDOM
3. SAUT
4. ST. JOHN
5. MZUMBE
6. MUSLIM UNIVERSITY OF MORO
7. KAMPALA I. UNIV.
8. THEOFILO KISANJI
9. IMTU
10. TUMAINI
11. ST. JOSEPH
12. MWENGE
13. ARDHI
14. DUCE
15. RUCO
16. OPEN UNIV. OF TZ (OUT)
17. SUA
Ubora wa masomo au mazingira
 
1. UDSM
2. UDOM
3. SAUT
4. ST. JOHN
5. MZUMBE
6. MUSLIM UNIVERSITY OF MORO
7. KAMPALA I. UNIV.
8. THEOFILO KISANJI
9. IMTU
10. TUMAINI
11. ST. JOSEPH
12. MWENGE
13. ARDHI
14. DUCE
15. RUCO
16. OPEN UNIV. OF TZ (OUT)
17. SUA
5
 
Watu wa SUA wapo Busy na assignment s
SUA IS THE BEST UNIVERSITY EVER,ESPECIALLY FOR AGRIC SCIENCE S
 
1468442699084.jpg
 
Chuo bora hujakitajaa. Ni Steet University... hivyo vingine ni kuenda kuchukua vyeti tu. Ona sifa za chuo hiki... wahadhiri ni wengi na wana ujuzi mbalimbali, mitihani ni ya kumpima na kumjenga mtu kisawasawa, tafiti ni kila kukicha unakucha nazo, ndicho kinachozalisha wataalamu wengi. Kwani hivyo vingine vina nini hasa? Siasa tupu. Na muendelee kupambanisha halafu mnagraduate mnarudi ktk chuo changu kuanza upya...
 
1. UDSM
2. UDOM
3. SAUT
4. ST. JOHN
5. MZUMBE
6. MUSLIM UNIVERSITY OF MORO
7. KAMPALA I. UNIV.
8. THEOFILO KISANJI
9. IMTU
10. TUMAINI
11. ST. JOSEPH
12. MWENGE
13. ARDHI
14. DUCE
15. RUCO
16. OPEN UNIV. OF TZ (OUT)
17. SUA
 
Back
Top Bottom