Chuo kikuu kipi ni bora kuliko vyote kati ya hivi Tanzania?

Naona watu wanatoa mapovu hapa kwa kulinda vyuo walivyosoma. Kwa bahati nzuri sijasoma katika vyuo tajwa hapo juu. But frankly speaking UDSM ni baba Lao. Wengi humu ni UDSM PHOBIA.
 
1. UDSM
2. UDOM
3. SAUT
4. ST. JOHN
5. MZUMBE
6. MUSLIM UNIVERSITY OF MORO
7. KAMPALA I. UNIV.
8. THEOFILO KISANJI
9. IMTU
10. TUMAINI
11. ST. JOSEPH
12. MWENGE
13. ARDHI
14. DUCE
15. RUCO
OPEN University vp mbn hujataja?
 
Ndg Dragoon UDSM Kimefanya nn Tangible? Helicopita zenyewe zinabuniwa na Garage/wajasiliamali binafsi na Arusha Technical College
 
Sina cha kuchangia maaana naona kila mtu anajivunia kwa upande wake....ila cha msingi tuangalie nn mwanafunzi anakipata baada ya kuhitimu...hayo mengine ni mbwembwe tu maana hata mkisema ktk soko la ajira hatuwezi kusema kuwa chuo fulani kinaongoza hapo tutakuwa tunajidanganya..tuondoe fikra za kufananisha vyuo vilivyopo nchini bali tukabaliane na changamoto zilizopo kwa sasa ili tuweze kuinua vyuo vyetu kitaaluma na kuzitangaza zaidi nje ya nchi...mkumbuke kuna vyuo vikongwe na na vyuo vya karibuni tuache ushabiki na tujivunie vyuo vyetu...
 
Back
Top Bottom