SwadaktaSasa kama kweli unadaiwa si ulipe yaani unampangia anayekudai ulipe lini, yaani umalize chuo ndo uje uchukue cheti na ukifa je.Lipeni hela za watu , elimu ni gharama
Mambo ya kumzuwia mtu kufanya mtihani kisa hakulipa ada,mzee mkapa aliyapiga marufuku 1999,zuwia cheti,si Kuna clearance form mwisho wa siku kabla ya kupewa vyeti?Sasa kama kweli unadaiwa si ulipe yaani unampangia anayekudai ulipe lini, yaani umalize chuo ndo uje uchukue cheti na ukifa je.Lipeni hela za watu , elimu ni gharama
Katafute chuo cha mkapa ukasome usiwapangie watu.Wafanyakazi wa chuo hicho na huduma zingine zinategemea ada za wanafunzi.Mambo ya kumzuwia mtu kufanya mtihani kisa hakulipa ada,mzee mkapa aliyapiga marufuku 1999,zuwia cheti,si Kuna clearance form mwisho wa siku kabla ya kupewa vyeti?
Mada inasema Kampala wewe unaongelea Mkapa.Mambo ya kumzuwia mtu kufanya mtihani kisa hakulipa ada,mzee mkapa aliyapiga marufuku 1999,zuwia cheti,si Kuna clearance form mwisho wa siku kabla ya kupewa vyeti?
Kuna sheria za nchi husika,Kama unataka kufanya mambo utakavyo kafanye kwenuKatafute chuo cha mkapa ukasome usiwapangie watu.Wafanyakazi wa chuo hicho na huduma zingine zinategemea ada za wanafunzi.Ningekubali kuwa wananyanyaswa kama wakati wa mtihani wanabambikiwa vitu na kuwasingizia kuwa wamefanya udanganyifu, nk.Ada na malipo mengine kamilisha hakuna mjadala.Tumeona hata wanafunzi wa UDSM wakikaziwa kulipa ada.Lipa ada, Kampala university kazia Uzi hapo hapo na hata wale wanaodaiwa elfu 10 wakaziwe hadi wakamilishe deni
Chuo Cha Kampala tawi la darMada inasema Kampala wewe unaongelea
Mkapa.
Kwani ada ya supplementary aijafutwa vyuo vote?Chuo kikuu cha Kampala tawi la Tanzania kimekuwa na tabia ya kuwatesa watanzania wanaosoma kozi mbalimbali hapo chuoni kwa kuwawekea mazingira magumu...
Hicho chuo kiko wapi na kinamilikiwa na nani?Chuo Kikuu Kampala kinawatesa Watanzania
Ndugu ni hivi ada yote ya chuo amelipa hadaiwi lkn anazuiwa kufanya mtihani wa mwisho kisa anadaiwa ada ya supphata
Angekua anadaiwa ada ni sawa lkn ada ya kozi nzima kaishalipa yote. Anachodaiwa ni hela za supp. Je ni halali?1999,zuwia cheti,si
Kama ndo utaratibu wa chuo alipe tu hakuna janja janja kwenye elimu.Angekua anadaiwa ada ni sawa lkn ada ya kozi nzima kaishalipa yote. Anachodaiwa ni hela za supp. Je ni halali?