CHUO KIKUU inatupa maana halisi ya neno University | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHUO KIKUU inatupa maana halisi ya neno University

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Chachata, Apr 30, 2011.

 1. Chachata

  Chachata Senior Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Mimi napata shida na neno Chuo Kikuu, Sijui kama ndiyo tafasiri sahihi ya neno University, neno University limetokana na Univesal likibeba maana ya kitu kinachotambulika ulimwenguni kote. Sasa siju neno hili limetafsiriliwa kwa aina gani ya tafsiri. naomba tafsiri sahihi ya neno Univesity.
   
Loading...