Chuo Kikuu Huria Tanzania(OUT) chashika nafasi ya 13 duniani, ya pili Afrika

Conquer, ww itakuwa nyumbu. Sasa kwani kuhusu ccm do u need a research to prove that, bunge lina wabunge wengi toka chama gani. Nyumbu bhana
Research mnazibishia, vitu obvious mnabisha.
Sijui msaidiweje
Hapo ulitakiwa kusema yes or no full stop. Sasa kunishambulia kiasi hicho alafu shambulio lenyewe ni la haibu unakuwa ujanitendea haki.
 
Kila chio kina objectives zake. Malengo ya OUT ni sawasawa na UPE yaani Universal Primary Edecation. Kila mtu pale anaruhusuwa kudahiliwa. Vyuo vingine kama IDSM, UDOM,SUA ,MZUMBE, TUMAINI, SAUT na MIPANGO vina mwelekeo tofauti ndio maana form four hawezi kuwa admitted. Na masomo yao ni tight ukiingia kichwa kichwa semister ya kwanza tu wanakula kichwa. Aliosoma vyuo hivyo anajua. Siwapingi wala kuwa undermine waliosoma OUT lakini waje wajaribu na vyou vingine watajua utofauti uko wapi. Nilisoma master na graduate wa OUT alikuwa na GPA nzuri sana lakini kwenye presentation alikuwa anapata taabu sana. Hata research ilibidi awape watu wafanye kazi hiyo. Pengine sio wote lakini wengi wa OUT wana inferioty complex wanapokutana na waliosoma vyuo vingine.
Wewe upeo wako ndo uko chini! Kwanza IDSM ni chuo gani hapa Nchini! Mimi nimesoma degree yangu ya Kwanza UDSM na sasa nafanya LLB hapa OUT,ni kwamba OUT iko vizuri sana! Kuna Platform hapa inaitwa Moodle nadhani ni mfumo wa e-learning ambao hata UDSM utawachukua miaka mingi sana kuwa nao!
Dunia tunayokwenda nayo hii ya Technology watakao kuwa tayari kukaa muda wote shuleni ni watoto wa mama na vi.l.aza tu!
Tunasoma,tunafanya mitihani na maisha mengine yanaendelea!
Hongera sana Prof.Tolly Mbwete na wenzake kwa ubunifu wa kuanzisha Chuo Kikuu hiki.
 
Chuo gani hata vilaza wanapata degree
Watanzania wengi wamezoea kuwa kusoma degree ni kitu ambacho lazima kiwe kigumu sana na wanafunzi wengi wa-disco na kurudia mwaka. Utakuta mtu anajisifia ''ahaa kile chuo siyo mchezo bwana. Mwaka wa kwanza walianza mia mbili lakini wamemaliza hamsini tu. Yaani tumefikia hatua ya kudhani kuwa mtu asiposoma kwa taabu na watu wengi kurudia na ku-disco basi hiyo elimu siyo bora. Ni imani potofu hii. Nimeona vyuo vya nje watu ambavyo watu wanaanza na kumaliza karibia wote na ma-graduate wake wanafanya mambo makubwa baada ya kumaliza chuo kuliko huku kwetu. BTW ubora wa elimu ya chuo unapimwa kwa kuangalia achievement ya wahitimu wake baada ya masomo ni siyo vinginevyo.
 
You are right. Watanzania wengi wanadhani mtu asiposoma kwa taabu na kuloweka miguu kwenye maji kwa kukesha usiku na wanafunzi wengi kufeli mtihani basi elimu siyo bora. Dunia ya leo imeendelea watu wanasoma kwa raha na kwa kujinafsi. Kinachotakiwa ni kuelewa na siyo kukakamaa na mitihani migumu!
 
Kila chio kina objectives zake. Malengo ya OUT ni sawasawa na UPE yaani Universal Primary Edecation. Kila mtu pale anaruhusuwa kudahiliwa. Vyuo vingine kama IDSM, UDOM,SUA ,MZUMBE, TUMAINI, SAUT na MIPANGO vina mwelekeo tofauti ndio maana form four hawezi kuwa admitted. Na masomo yao ni tight ukiingia kichwa kichwa semister ya kwanza tu wanakula kichwa. Aliosoma vyuo hivyo anajua. Siwapingi wala kuwa undermine waliosoma OUT lakini waje wajaribu na vyou vingine watajua utofauti uko wapi. Nilisoma master na graduate wa OUT alikuwa na GPA nzuri sana lakini kwenye presentation alikuwa anapata taabu sana. Hata research ilibidi awape watu wafanye kazi hiyo. Pengine sio wote lakini wengi wa OUT wana inferioty complex wanapokutana na waliosoma vyuo vingine.
Analysisi kama yako imeegemea upande mmoja, moja ya vitu ninavyoona ni juu ya umakini na usiriaz wa mwanafunzi husika.
Ntakupa mfano. Zaman graduate wa UD walikuwa na soko sana hapa tz. Lakini kadri muda unavyoenda utakubaliana na mimi kuwa hata hao walosoma UD kama haukuwa siriaz huwez toboa katka interview

Swala la presentation.
Hapa mkuu umejaribu ku andermine!! Mpaka sasa hakuna chuo wanaweza kusema wanaweza presentation angalau kwa 45%. Hii ni kwakuwa presentation smtm hutegemea na Engl proficienc pamoja na uelewa wa mwanafunzi juu ya topic hasika, sasa unamaanisha wanaosoma nnje na open ndio wanajua Engl! Na wanauelewa mkubwa? (High IQ)

Mwisho nadhan umekuja na hii analysisi hujafuatilia elimu ya open! Nilitaman sana ukutane na mtu mwenye confidence ili mjaribu kiweka topic flan mezan afu kila mtu adadavue kadri ya uelewa!
Kimsingi kama open hauko siriaz huwezi toboa kwakuwa pale huhitaji kukariri, unatakiwa uelewe.
 
Watanzania wengi wamezoea kuwa kusoma degree ni kitu ambacho lazima kiwe kigumu sana na wanafunzi wengi wa-disco na kurudia mwaka. Utakuta mtu anajisifia ''ahaa kile chuo siyo mchezo bwana. Mwaka wa kwanza walianza mia mbili lakini wamemaliza hamsini tu. Yaani tumefikia hatua ya kudhani kuwa mtu asiposoma kwa taabu na watu wengi kurudia na ku-disco basi hiyo elimu siyo bora. Ni imani potofu hii. Nimeona vyuo vya nje watu ambavyo watu wanaanza na kumaliza karibia wote na ma-graduate wake wanafanya mambo makubwa baada ya kumaliza chuo kuliko huku kwetu. BTW ubora wa elimu ya chuo unapimwa kwa kuangalia achievement ya wahitimu wake baada ya masomo ni siyo vinginevyo.
Pastor wangu ni PHD.holder na amesoma ulaya na Asia.. Huwa anasema, mwalimu mzuri ni yule anayetoa mtihani na wanafunzi wanafauli na sio anayefanya wanafunzi wafeli na kuona masomo ni magumu
 
Hii kitu mpaka sasa watanzania hatuelewi. Tunajua elimu ni ugomvi!! Mwalimu anapaswa kuhakikisha mwanafunzi anafaulu kile alichofundisha.

Sasa napata tabu sana kwakuwa waalimu wengi wa open ni wa vyuo hivyo wanavyosema ni vizuri hapa tanzania. Kwahiyo wanamaanisha hivyo vyuo vinatoa product dhaifu ambazo zinakuja kufundisha wanafunzi dhaifu??? Mwisho wake wanatoa maksi za bure
 
Pastor wangu ni PHD.holder na amesoma ulaya na Asia.. Huwa anasema, mwalimu mzuri ni yule anayetoa mtihani na wanafunzi wanafauli na sio anayefanya wanafunzi wafeli na kuona masomo ni magumu
Ni kweli mkuu. Hata mimi nilishawahi kusoma chuo kimoja Ulaya. Mtihani wanafeli wachache sana na mtu akifeli ma-lecturer wanahaha kutafuta sababu. Watajitahidi kutoa mtihani mwingine mpaka mhusika labda uwe ''dumb'' hasa ndiyo utashindwa. Na wanafunzi ni waaminifu sana, hakuna madesa. Mtihani unafanyika leo kesho kama kuna aliyekuwa hayupo anaufanya huo huo lakini hatahangaika kuutafuta na kusoma kwanza.
 
Binafsi yangu nakipenda sana chuo cha OUT kimenisaidia sana nimeweza kujiendeleza kielimu huku nikifanya kazi bila tatizo lolote.
 
Chuo gani hata vilaza wanapata degree
Na mara zote kwa watu ambao bado primitive kama wewe wanadhan degree is a big deal had miaka hii wakat zama hizo zilisha pita kitambo sana nchi za wenzetu degree ni elimu ya daraja la tatu

Mtihani ulio kupitisha wewe kidato cha sita kwa ufahulu wa EE ukaenda chuo basi ndio unao kupa jeuri?

Nikuombe fuatilia mfumo wa elimu ya chuo huria ulivyo ili uongee unacho kielewa vyema.
 
Back
Top Bottom