Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

Naomba mnitazamie na mimi jaman huku kijijin tabu..
Jackson..s0496/0459/2011 niliweka m.d na kompyuta sayanc..
 
mtu una smartphone lakin cha kushangaza tukitoa whatsapp na jf hujui hata jinsi ya kufanya mambo mengne excel inasomeka vzr tuu katika smatphones na pia una uwezo wa kuzbadilisha kuwa pdf. dah watu wavivu sana kudadadek
 
jamani nomba niangalizie Oscar nyang'ango s3512/0067/2008 education
 
Poleni ndugu zangu mnaoenda vyuoni hususani UDOM.
Naona hapa wengi wenu hamuyaoni majina yenu lakin hii isiwafanye mfadhaike na kukosa raha.
Ni hv majina bado yanaendelea kuchakatuliwa.
Batch: kama ilivyotumika ni kama "fungu" kwa iyo majina yenu huwa yanatoka kwa mafungu.
Huu ni utaratibu wa chuo hiko kama mtakavyokwenda kuuona.
Msifadhaike pia majina kuwa ktk format ya xls. Wanafanya hv ili iwe rahisi kwa editing na mambo mengne.
By the way kwa kutumia Ms OFFICE 2007 kwny computer yako unaweza kuya"convert" kuwa pdf.
Unaweza tumia smartphones kuya~preview.
 
Naomba mnitazamie na mimi jaman huku kijijin tabu..
Jackson..s0496/0459/2011 niliweka m.d na kompyuta sayanc..

mkuu weka jina kamili huku nawaona wakina jackson kibao namba zimekatwa!!!
 
Back
Top Bottom