Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) udahili wenu upoje?

copyright

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
258
195
Habari wanajamvi?

Mimi niliapply UDSM na vyuo vingine tofauti katika round 3 na nikafanikiwa kuwa multiple selected. Katika chuo kikuu Dar es Salaam nilichaguliwa kozi ya BSc with Education na nikaconfirm kabisa, lakini kianzia juzi j'mos nikiingia kwenye akaunti yangu inaniambia, 'sorry you have not selected.'

Je, kwanini inaonyesha hivyo, ni changamoto ya system? Au nimeenguliwa?

Naomba kujua shida ni nini kwa anayejua maana nimeanza kuwa stressed coz hata simu ukiwapigia hazipokelewi.

Ahsante.
 
achana na kusoma ualimu,utaishia roho mbaya na majungu mkuu na kuwa na kipato duni.
Pili kwa sasa sio garantee ukisoma ualimu serikali kupata ajira, wendako wanzako bach kibao street .ukinifuata nayokwambia utanishukuru baadaye
 
Asante kwa ushauri mkuu, japo hujanipa majibu ya maswali yangu
 
achana na kusoma ualimu,utaishia roho mbaya na majungu mkuu na kuwa na kipato duni.
Pili kwa sasa sio garantee ukisoma ualimu serikali kupata ajira, wendako wanzako bach kibao street .ukinifuata nayokwambia utanishukuru baadaye
Mleta mada hajaomba ushauri huu . wewe kama shule ilikushinda,waache wenzio wasome.
 
Back
Top Bottom