Tafuta chuo chochote cha VETA kuna kozi za computer basic application au nenda chuo cha uhadhiri huko kuna kozi za kuwa secretary ambapo utapata nafasi ya kutumia computer.. Kiufupi kasome kozi ya computerWakuu naomba kuuliza ni chuo gani kinatoa kozi ya mambo yote yahusuyo stationary. Natanguliza shukrani[emoji120]
Yaani unataka kwenda chuo kujifunza jinsi ya kutoa photocopy au ni mimi sijaelewa..?😆Wakuu naomba kuuliza ni chuo gani kinatoa kozi ya mambo yote yahusuyo stationary. Natanguliza shukrani[emoji120]
Umenipa wazo mkuu asante snaaMkuu hauhitaji Chuo nenda Stationery yoyote kajitolee utapata hands on experience..., ukitaka kuwa professional zaidi kajifunzia U-Secretary kuna chuo Tabora Uhazili hapo utakuwa una wigo mpana
Mwanzo | CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA (TPSC)
Na si watakuwa wanamlipa zile buku 7Nenda ofisi za CCM uombe kujitolea hasa kipindicha uchaguzi, hivi karibuni wataanza primaries.
Ni mali kwa maliNa si watakuwa wanamlipa zile buku 7
!!!!!!!!!!?????Wakuu naomba kuuliza ni chuo gani kinatoa kozi ya mambo yote yahusuyo stationary. Natanguliza shukrani[emoji120]