Chuo cha utumishi wananizengua

Chuo cha utumishi wananizengua

Razakyeliasy

Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu mm nimesoma sheria katika chuo cha utumishi (Tpsc) wa umma Mtwara , na nataka kuendelea na elimu ya juu lkn cha ajabu nataka kuendelea na bachelor , nimefika Nacte wananambia kuwa course nlokuwa nasoma Tpsc haijasajiliwa , na nimeangalia mtandaoni nacte ni kweli course haijasajiliwa , naombeni ushauri wenu wasomi
 
Hii ya TPSC kutoa kozi ya sheria ni jipya,ndio kwanza nalisikia kwako,umefanya Record Management au Human Resource ndio ukahisi ndio sheria?
 
Wanatoa ndio ,Tanga , na mtwara lkn sisi tumemaliza mwezi wa sita mwaka huu 2016, lkn kumbe koz yetu haijasajiliwa na sasa nahangaika mie cjui hta nifanyaje
 
Chuo cha Utumishi wa Umma a.k.a Tanzania Public Service College toka lini wakatoa kozi za sheria? au ulivyosoma labour Law na Administrative Law DHRM ukajua ndio tayari umekuwa nguli wa sheria!!!!!!
 
Pole sana mkuu mkono mbaya umeshakupitia kama wale wa udom hamna namna jipange tu upya japo inauma
 
Chuo cha Utumishi wa Umma a.k.a Tanzania Public Service College toka lini wakatoa kozi za sheria? au ulivyosoma labour Law na Administrative Law DHRM ukajua ndio tayari umekuwa nguli wa sheria!!!!!!
inaonekana wewe mbishi sana, kwa taarifa yako wameanza kutoa kozi ya sheria. usibishe jambo usilolijua. UNAJIAIBISHA
 
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu mm nimesoma sheria katika chuo cha utumishi (Tpsc) wa umma Mtwara , na nataka kuendelea na elimu ya juu lkn cha ajabu nataka kuendelea na bachelor , nimefika Nacte wananambia kuwa course nlokuwa nasoma Tpsc haijasajiliwa , na nimeangalia mtandaoni nacte ni kweli course haijasajiliwa , naombeni ushauri wenu wasomi
pole kwa yaliyokupata. ongea na uongozi wa chuo ili kama inawezekana waisajili hiyo kozi ili uweze kuendelea na degree
 
inaonekana wewe mbishi sana, kwa taarifa yako wameanza kutoa kozi ya sheria. usibishe jambo usilolijua. UNAJIAIBISHA
Kujiaibisha? unajua maana ya kujiaibisha? wanaojiabisha umeshawahi kuwaona? tumia maneno katika usahihi wake!
Ndivyo Mburuma alivyowafundisha hivyo?
 
Kuosajili wanaweza kuchukua muda na mm nilikuwa nahitaji kuendelea now sasa sijui niwafanyaje , kosa ni la nani hapo na je naweza pata haki yangu ki vipi
 
nenda huko TPSC kaongee na mkuu wa pale, wakikuletea nyodo nenda tume ya haki za binadamu ukatafute haki yako..
 
Kuosajili wanaweza kuchukua muda na mm nilikuwa nahitaji kuendelea now sasa sijui niwafanyaje , kosa ni la nani hapo na je naweza pata haki yangu ki vipi
Yani hiki chuo Mimi sina hamu nacho wanafundisha course nyng hawajazijasajili hata huyo ndalichako anatakiwa kuanza nacho maana cha tabora ukiingia nacte account haipo ila wao wanafundisha na hawakusajili nacte wala nn Mimi huwa nashangaa sana na ada wanakula na cheti chenyewe magumashi labda sababu ni chuo cha utumishi wa umma kinalindwa
 
Back
Top Bottom