Chuo cha Utalii, Boresheni mfumo wenu wa Online

Chuo cha Utalii, Boresheni mfumo wenu wa Online

Marcovicsavic

Senior Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
132
Reaction score
308
Ni kawaida yangu kufanya doria kwenye mifumo ya ndani na nje nikijifua kwenye suala zima la penetration,

Mwezi huu nimekua nikideal na mufumo ya vyuo hasa upande wa matokeo na sekta nyingine ,

Nimepita vyuo kadhaa na kila chuo nimeona wana wekaness chache zinazo tubika

Ila nilipo fika kwenye mfumo wa hiki chuo cha utalii dah mpaka nimesha shangaa

Taasisi kam hii kuna na mfumo dhaifu hivi kwenye security

Kwa wale mlio karibu na wahusika wa chuo hiki muwataarifu kua wana mfumo dhaifu mnooo, na bila shaka kuna watu wanaingia wanavyotaka na kubadiri wanacho taka, .


Niwapongeze kampaka International university mfumo uko strong japo ni WordPress,

Udsm wa encrypt search bar,
Udom wapunguze ability kwa super Admin ni risk.
Ifm mliwaza nini kuweka password reset ya Admin bila OTP? are you peoplw serious.. [emoji23]

NB : sio kwa ubaya msije nifata na FBI [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20230917-WA0018.jpg
View attachment 2752879View attachment 2752878
 
Back
Top Bottom