Chuo Cha Ujasiriamali

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Nimemaliza darasa la saba, kwa hiyo natafuta Chuo chochote cha Ujasiriamali. Mwenye habari yoyote kuhusu chuo kama hicho anijuze. Sina uhakika kama VETA inatoa elimu ya ujasiriamali hasa maswala ya biashara. Naombeni msaada wenu wa kiushauri wana jukwaa
 
Nenda imed kwa doctor olomi
sorry uko wapi
isijekuwa uko kibaigwa na mie nakuelekeza tuu
 
Nimemaliza darasa la saba, kwa hiyo natafuta Chuo chochote cha Ujasiriamali. Mwenye habari yoyote kuhusu chuo kama hicho anijuze. Sina uhakika kama VETA inatoa elimu ya ujasiriamali hasa maswala ya biashara. Naombeni msaada wenu wa kiushauri wana jukwaa

muone erick shigongo akupe street universty
 
CHUO CHA UJASIRIAMALI MICTES-MOROGORO
Jifunze wanatoa mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali
Angalia Home - mictesmoro unaweza kuona itakayokufaa, kama hutaoina fanya mawasiliano kwa namba utakazo ziona.

LA SABA , WASIOJUA KUSOMA, WENYE ZIRO, WANAOJIONA WAMEFELI.........KARIBUNI SANA.
 
Una umri gani nikuunganishe somewhere waweza kuni pm if you are under 17 ifikapo January 2015
 
Nimemaliza darasa la saba, kwa hiyo natafuta Chuo chochote cha Ujasiriamali. Mwenye habari yoyote kuhusu chuo kama hicho anijuze. Sina uhakika kama VETA inatoa elimu ya ujasiriamali hasa maswala ya biashara. Naombeni msaada wenu wa kiushauri wana jukwaa

Nenda SIDO wanatoa mafunzo ya ujasiriamali wanazo cozi fufifupi na unalipa kidogo .
 
Back
Top Bottom