Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Wadau habari zenu
Naomba kuuliza kwa Dar es Salaam chuo gani kizuri cha ufundi, ufundi cherehani, upambaji au maswala ya saloon.?!
Wanapokea watu wenye qualification zipi
Na huwa wanaanza mwezi gani
Kama una mdau yeyote mwenye chuo niunganishe naye