Chuo cha tumaini iringa ufisadi mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha tumaini iringa ufisadi mtupu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SIPIYU30, Mar 20, 2012.

 1. S

  SIPIYU30 JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 686
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Jamani nimeprove tetesi hizi ambazo zimekuwa zikisemwa juu juu kuhusu chuo kikuu cha Tumaini kuwa kinaendeshwa kiundugu, kikabila na kidini zaidi. Watu wengine tunaonekana kama takataka tuu, mtu ukiwa na claims zako unaonekana kama vile rabbish tuu. Nobody cares about you. Imenikuta na nimejifunza mengi kuhusu vyuo vya private.
   
 2. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  yaani wewe msomi wetu unatoa accusations kali kwenye title, then ndani pia unaongezea zingine; halafu unaishia kuwaambia watu kwamba umejifunza kwasababu yamekukuta. Sasa unataka watu wajadili nini hapa? tatizo ni nini? jaribu kuelewa nini unataka kuandika na mantiki yake kabla hujachukua hatua ya kuandika. Otherwise, tunapata shida kukuelewa na wewe.
   
 3. Boonabaana

  Boonabaana JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hakuna comprehensiveness ktk thread yako mkuu! Try again.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hueleweki..
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  jamani mnajua tumaini wameanzisha kituo cha kurudia mitihani ya form 4 na huyu mleta thread ni mmoja wa hao wanafunzi wakituo hiki
   
 6. D

  DOMA JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Signal low
   
 7. m

  mtafungwa Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuambie zaidi, tafadhali.
   
Loading...