Chuo cha St. Joseph University Arusha campus Kufungwa Kesho

Chuo cha St. Joseph University Arusha campus Kufungwa Kesho

Joined
Aug 29, 2013
Posts
54
Reaction score
37
Kunataarifa zisizo rasimi kwamba kesho TCU watakifungia chuo cha st Joseph university Arusha campus. Hii ni kutokana na uonevu unaofanywa na management ya chuo kwa wanafunzi wanao ugua au kupatwa matatzo na kushidwa kufikisha 85% ya attendance.

Hivyo huzuiwa kufanya mtihani ( UE).
 
Kunataarifa zisizo rasimi kwamba kesho TCU watakifungia chuo cha st Joseph university Arusha campus. Hii ni kutokana na huonevu naofanywa na management ya chuo kwa wanafunzi wanao hugua au kupatwa matatzo na kushidwa kufikisha 85% ya attendance. Hivyo huzuiwa kufanya mtihani ( UE)

Hiyo sidhani kama inatosha kufungia chuo.Na hizo taratibu TCU wanazitambua, ziko hvyo vyuo vyote sema utekelezaji unatofautiana.Hilo unalosema linawezekana Open University.
 
Hiyo sidhani kama inatosha kufungia chuo.Na hizo taratibu TCU wanazitambua, ziko hvyo vyuo vyote sema utekelezaji unatofautiana.Hilo unalosema linawezekana Open University.

kaka hiki chuo hakina hadhi ya kuwa chuo kikuu. Chuo hakina curriculum, prospectas, uongozi wa serikali ya wanafunzi, maabara wala special examz kwa wenye matatzo. This is a hell
 
Kunataarifa zisizo rasimi kwamba kesho TCU watakifungia chuo cha st Joseph university Arusha campus. Hii ni kutokana na uonevu unaofanywa na management ya chuo kwa wanafunzi wanao ugua au kupatwa matatzo na kushidwa kufikisha 85% ya attendance.

Hivyo huzuiwa kufanya mtihani ( UE).

wahindi nuksi sana yaani wanamfuatiliA mwanafunzI mahudhuriO yakE kamA ugomvI,CjuI wanadhanI kuwA wapO kwaO indiA
 
ah kumbe kinamilikiwa na wahindi ndo maana wakifunge tu waindi warudi kwao india ila msilete fujo jaman
 
huko mm ndo ningefukuzwa semista ya kwanza maana kuhudhuria mihadhara kwangu ni kitendawilo kisicho na jibu ......siku za quiz, test, presentation ndo za kwenda chuo ada hao wahindi wanajua ni sekondari hapo hadi wanafwatilia hvo.......
 
Basi hapa ni zaidi ya secondary, yaan utadhani kindergaten aisee
 
Kunataarifa zisizo rasimi kwamba kesho TCU watakifungia chuo cha st Joseph university Arusha campus. Hii ni kutokana na uonevu unaofanywa na management ya chuo kwa wanafunzi wanao ugua au kupatwa matatzo na kushidwa kufikisha 85% ya attendance.

Hivyo huzuiwa kufanya mtihani ( UE).

Mi bado nna wasiwasi na hili. Hata hivyo mbona suala la attendance kwa mhindi huwa linawekwa wazi tangu semister ikianza. Na asilimia za attendance huwa zinatangazwa kabla ili kila mtu ajitambue na kuimprove attendance yake. Na si kweli kwamba management haishughulikii suala la wanafunzi wanaoshindwa kufikisha asilimia 85 ya attendance tena kwa sababu maalum kama kuugua au kupatwa na matatizo. System ya chuo iko wazi unapokuwa na tatizo, toa taarifa sehemu husika. Tatizo wengi hawafuati taratibu halafu mwisho wa semister wanakuja kusingizia ugonjwa na matatizo ili wapewe ruhusa kufanya UE.
Kuhusu kudoji kwa mhindi mbona watu wanadoji sana. Ila doji kwa target. Lazima ujue vipindi vya kukosa na vya kuingia. Lazima ujue season za kudoji na za kuingia. Wala hutapata shida.
By the way chuo kufungiwa kwa sababu hiyo mi nadoubt hapo kabisa.
 
huko mm ndo ningefukuzwa semista ya kwanza maana kuhudhuria mihadhara kwangu ni kitendawilo kisicho na jibu ......siku za quiz, test, presentation ndo za kwenda chuo ada hao wahindi wanajua ni sekondari hapo hadi wanafwatilia hvo.......

Kuwa mwanachuo haimaanishi usiwe na discipline ya elimu.
 
kaka hiki chuo hakina hadhi ya kuwa chuo kikuu. Chuo hakina curriculum, prospectas, uongozi wa serikali ya wanafunzi, maabara wala special examz kwa wenye matatzo. This is a hell

Suala la special exams ni kweli wahindi wanapaswa walitendee kazi. Japo pia kwa mfumo wao wa kufanya mitihani mitatu halafu wachukue miwili uliyofanya vizuri, wanaamini huwezi ukakosa yote. So kwa upande flani bado wapo sahihi.
 
du! wengine cha mhim ni kuhakikisha haukos mitihan bila 7bu na siyo mahudhurio ya vipind. hapo wangenidisco. karib udom
 
-- Nafahamu karibia vyuo vyote hapa nchini ila hivi vya St. Joseph, hawa Wahindi hawakujipanga kutoa elimu tarajiwa kwa wantanzania, anzia pale Kiluvya ambacho ndo chuo chao cha kwanza hapa Tz, manyanyaso ni mengina dharau zao kwa watz ndo usiseme. Nenda pale Ruwihiko Songea balaa tupu.................. hata shule zetu za kata ni afadhali yaani mwaka jana tu ndo wamehamisha ile shule yao ya secondari na primary ya Taifa kabla ya hapo, Mungu wangu............. majengo ovyo madarasa ndo walikua wanachangia kuanzia shule ya msingi mpaka chuo.
-- Msiba mwingine ni pale Makambako yaani hata vibanda vya Machinga, au Mamalishe ni afadhali, na hali ni ileile ya manyanyaso kwa wazalendo, sijui hawa TCU wanatumia vigezo gani kuwakubalia hawa jamaa kuanzisha hivi vyuo vyao hovyo kuliko hata shule zetu za kata
-- haya Arusha nako ndo hivyo..............
 
WABONGO WAVIVU WA KUSOMA ndo maana wanataka kukimbia hapo!

kusoma sio vita afu mtu mpaka afike chuo anajitambua......ila nakuunga mkono kwa kweli tumezidi uvivu hasa wa chuo kazi ikitolewa utaona siku ya kukusanya yani ni fujo bt kazi ilikua ni ya wiki mbili mtu anafanya one hr b4 collectng
 
Pale kwa wahindi kama umeenda kucheza diploma /degree utaviona kwenye mabomba tu
 
Chuo cha st joseph university,sasa neno chuo lanini tena!!
 
Back
Top Bottom