Chuo cha Mkolani Foundation

Chuo cha Mkolani Foundation

Kidooo

New Member
Joined
May 19, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Ndugu zangu Mimi nimehitimu chuo cha Mkolani Foundation Organization baadae nilikuja kusikia chuo hicho kilifungiwa na serikali, nilikua napenda kuuliza mimi niliyehitimu kabla ya kufungiwa siwezi ajiriwa serikalini?
 
Ulisoma kozi gani kabla hakija fungiwa? Hiyo kozi ilikua inatambulika na serikali.
 
Mbona hilo halina mshikira kwenye website ya nacte itakuepo tu.
 
Back
Top Bottom