Chuo cha Mipango Dodoma

Kuna ndugu zangu walisoma hapo.na wote walishaajiliwa tena hata hawakukaa sana nyumbani baada ya kuhitimu....nenda kk huna sababu ya kuchsnganyikiwa.
 
kuna prof aliwapa sap mkewe na mwanae,

kama wewe mtu wa kupenda penda starehe nakushauri bora usiende pale , unaweza poteza gharama zako bure halafu degree yenyewe hukaikosa. Ila hiyo course ni bonge la course
 
wakuu hizo hostel unalipia wapi chuo hapo hapo au maana nimeona kwenye website yao kwamba ukitaka hostel unabidi ufanye contact na MISAB ndo organization inahusika na accomodation
 
unalipia ukifika chuo na huwez kulipia hostel hadi uwe registered so fika chuoni kwanza, ila hostel za chuo magumashi mkifunga ata wiki moja mnatakiwa kutoa kilakitu room..
 
daah sasa kupanga nje ya chuo vipi vyumba vinapatikana kweli na gharama yake ikoje?
 
gharama inategemea na chumba kuna vya 50 kwa mwezi kuna vya 40 kuna vya kulipia mwaka mzima pia kuna hostel nje ya chuo so jipange tu ukifika chuo utaamua mwenyewe..
 
swali la mwisho mkuu maana umenisaidia sana hivi sports and games fee inalipwa kwa ajili gani au kuna michezo gani ya maana mpaka ulipe hela maana unawez lipa hiyo fee usione sports wala games
 
nime ku PM bro
 
Wazazi walikushauri vizuri. Hicho chuo kimejaa sana watoto wa certificate na diploma, degree bado sana coz ya upya!
 
Back
Top Bottom