Chuo cha marine engenering:

Chuo cha marine engenering:

kishitobe

Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
30
Reaction score
5
nisaidieni jamani kwa anayefahamu chuo au taasisi inayotoa mafunzo yanayohusu majini/marine apa tanzania au EAST AFRICA,mambo yahusiyo marine engenering na mambo mengine yahusiyo fani hii ya kwenye maji,wana jf nisaidieni tafadhali
 
Nenda DMI posta jirani na bandari ya ferry za kwenda zenji
 
UDSM pia Conas wanatia bachelor ya marine engineering
 
jaribu chuo cha bandari kipo pale tandika karibu na mwembe yanga
 
Back
Top Bottom