Unasema DIT Chadema kili wadanganya wanafunzi waka disculified?
Nimemaliza pale ma unajua kilichotokea ama unaropoka?
Huyo barongo mwenyewe alidisco ndo karudi sasa hv baada ya waliokuwa mwaka mmoja nae kumaliza chuo ambae nami nilikuwemo.
Ada ilipandishwa kinyemela na hao viongozi wa ccm aliyekuwa raisi Ndugu Nuhu Chiduo, bila hata hoja kupitishwa ijadiliwe na baraza la mawaziri, na bunge kwa ujumla.
Ada ilipanda kwa uwiano tofauti, kwa mfano mwaka wa mwisho kulikuwa na nyongeza ya 254,000/=
Kitu ambacho ni kinyume na taratibu za chuo.
Kumbuka kwa ada hiyo wapo waliokuwa wanalipiwa na bodi, mfano kama mtu ubalipiwa 100% ambayo ni 1,020,000/= je hiyo nyongeza ya 254,000/= bodi wata kuongezea bila taarifa na utaratibu wowote?
Walienda bodi na bodi haikuwa na taarifa yeyote juu ya ongezeko hilo.
Nilikuja gundua wachumia tumbo ni wengi kwakuwa hata katiba ya chuo ambayo nayo ilipitishwa kinyemela na raisi huyo chiduo hakuwa anaijua.
Kwani katiba inasema semester ya pili week ya pili uchaguzi ndo unatakiwa ufanyike na ikiwa mpaka week ya sita ikiwa bado basi dean of students alikuwa anatakiwa kutoa taarifa kwa wanafunzi kuna nn?
Kweli ccm ni kaa liloungua na linajifariji polepole, katiba ilipitishwa kinyemela na ilipokuja swala la kuchaguliwa wajumbe wa tume ikaleta shida kwenye vifungu kuwa wao walikuwa wanajua ni wajumbe 15 kumbe hata kuisoma hawajui kumbe ni wajumbe 45 na ni kijana mmoja machachari lumola steven kahumbi ambaye ni waziri mkuu alikuja na hoja hiyo raisi, dean of students na mkuu wa chuo wakabisha.
Ilipo pelekwa kwa mwanasheria kutafsiri, mwanasheria akasema lumola steven kahumbi yupo sawa.
Mchakato uliendelea wakachaguliwa wajumbe 45 na kulikuwa na kikundi chao cha kihuni walikianzisha kwenye katiba bila wao kujua athari yake, wakijua kama ni njia yao ya kujipatia ushindi.
Nacho ni judicial organ ambayo kiutaratibu ilitakiwa kuanza kazi baada ya tume kutangaza raisi.
Mchakato ulijazwa ghiliba na hila za kila namna tena kutoka utawala kwa kuwa aliyekuwa anagombea uraisi hwakuntaka ni mtu fuatiliaji sana, kwani shughuli yake walisha ionja akiwa waziri wa mikopo.
Alikuja kuapishwa mwishoni kabisa mwa semester tena kwa mbinde hii ni baada ya wahafidhina kushindwa na hila zao hasa kwenye vifungu vya sheria kwani wao wamekalia kuiba hela kama raisi aliyepita kwa kula hrla za kontena la futi 40 akatuletea la futi 20.
Baada ya raisi kuapishwa alianza kudeal na ishu ya wanafunzi wote kufanya mitihani then wasiolipa ada matokeo yao yazuiwe, kwakuwa chuo walikuwa na lengo la kuwazuia wale wote ambao hawakuwa wamelipa ada wasifanye mitihani, then waje pewa mitihani special.
Ndugu zangu mitihani special ni mibaya kwakuwa ni sawa na kufanya sup kwa masomo yako yote kitu ambacho tulipingana nacho.
Hapo ndo mgomo ulipo anzia, ila tulifanikiwa kwenda mpaka wizarani na waziri kukubali wanafunzi wafanye mitihani then wasiolipa ada wazuiliwe matokeo yao.
Ninacho taka kuwaambia nyie vijana wa ccm hapo chuoni hamjielewi.
Nimesoma chuo hicho kwa miaka takribani sita. Nyie kazi yenu nikula hela za wanachuo na kufuata ya mabwana zenu huko utawala.
Yaan bajeti ya wanafunzi haipandi hata siku moja y? Facult nimeongeaka na wanafunzi wamekuwa wengi bado bajeti ileile?
Bado pia mkiomba hela ya bajeti ya sisi wanafunzi tuliyolipia 10,000/= ambayo chuo kinadai kibatushikia wanakuambia chuo hakina hela, meanwhile hela yetu ibatumika kwingine?
Haya yote kila raisi anayeincia wakijua atapambana na hayo wanaleta hila za kuntafutia sup kama aliyechaguliwa juzi hapa tu ili kumuondoa.
Na maajabu bila chuo kujua kwakuwa hata sheria kusoma ni shida, raisi wame mwondoa kwa kuretake but vice kabaki wakati ile ni couple na katiba inasema mmoja akidisco maanake ni couple nzima inaondoka na uchaguzi unarudiwa.
Bado najiuliza vice anafanya nn hapo?, am ndo nyie wacoco beach ambao imebaki porojo tuu na sheria ni mabwana zenu wa utawala?
Shem on u guys, tunahitaji vijana wa kulivusha taifa hili tulipo na kutupeleka kwingine tunako staili.