Peter Dafi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 394
- 272
Tawi LA Chama Cha Mapinduzi DIT Lawakaribisha wanachama wapya Na Kuwaapisha Wanachama Wapya Na Viongozi Wapya.
Sherehe hii imefanyika ktk Ukumbi wa Coco Beach.
Nimepata Fulsa yakuzungumza Na Makada Hawa wa DIT.
Vijana wamegundua Upuuzi wa CDM Baada ya Vijana zaidi ya 300 Ku Disqualify Masomo yao.
CDM kimekuwa ni Chama chakuharibu Maisha ya Vijana wa Tanzania Kwa Kuwasababishia Matatizo Mashuleni, Mtaani, Ulemavu, Kupoteza Maisha Maisha, Kupoteza Shule, Kupoteza Kazi Na Mengine Mengi.
Ni Juzi tu UDOM vijana wengi wamepokea kichapo Na Kupoteza Masomo Na Kuuumia pia baada ya CDM kuwadanganya Wanafunzi njia zakudai Maitaji yao.
Pole sana CDM mwaka huu ndio Mtajua tu CCM ninani.
Back to DIT,
Vijana walikusanyika ni Zaidi ya 500 na Wameapa wakiwa Na Card za Chama Cha Mapinduzi .
Hakika tuna home wa CCM Pale DIT.
Waliochukua Form nipamoja wa Vijana waliokuwa wakiongoza Kwa Migomo DIT waliokuwa makada wa CDM Na CUF wamerudisha Card nakuingia CCM.
Kidumu Chama ChaMapinduzi DIT.