Chuo cha DIT kurusha Satellite yao mwakani 2026

I prefer when fail in air lands pale Nyeupe kwa vyovyote vile
 
Ni habari njema japo ungeandika na manufaa ya hiyo satellite kwetu ndio ingevutia zaidi
Kumbuka huko angani zipo kwa mamia na zina kazi tofauti tofauti....
 
Siyo ya China?
 
Uzuri taarifa imetolewa mapema ili tuandae shelter ata za mahema
 
Ni vizuri kuwa na malengo ya namna hiyo, kama dira inatuelekeza kufanya hivyo.
 
Wameshatengeneza nini kabla ya kutengeneza satelite?
 
Nipo nimekaa pale.
 
Utotoni kuna zile tuliziita TIARA labda watarusha tiara
 
Hii ni hatua nzuri..serikali inatakiwa kuwekeza uku pesa kwenye technology. Sio kuwa busy kuminya democrasia ya watanzania
 
!
!
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Dah Nchi Ngumu Sana Hii Aisee. Enheee πŸ“‘ πŸ›°οΈ Yaani Angani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…