chuo bora cha kilimo na mifugo kaole

chuo bora cha kilimo na mifugo kaole

mr.kayembele

Senior Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
118
Reaction score
58
Chuo cha kilimo na mifugo Kaole Bagamoyo kimeanza kupokea maombi ya wanafunzi wanaotaka kujiunga na kozi mbalimbali za mifugo na kilimo kwa ngazi ya cheti,VETA na Diploma

Tunapokea wanafunzi wote waliomaliza form 6
Form 4 na pia wanafunzi wa cheti kutoka vyuo vinavyotambuliwa na NACTE ili mradi tu awe na vigezo vya ufaulu,

Kwa waliomaliza form 4 hakikisha una ufaulu wa D nne na kati ya hzo 2 ni za masomo ya sayansi kama vile Geography,Biology,Chemistry,Physics na Mathematics,

Kwa wale wa form 6 wawe na ufaulu wa Principal pass moja na subsidiary moja katika masomo ya sayansi

Tunapokea pia wanafunzi wa VETA ili mradi tu awe amemaliza form four na kupata angalau D moja ya sayansi

Mwanafunzi atapata mafunzo makini yatakayomsaidia kuendelea mbele zaidi kwa level ya cheti, diploma na hata degree

Chuo kipo vzuri sana
Kina WAKUFUNZI na wataalam waliobobea vya kutosha katika upande wa kilimo, mifugo,uchumi na sayansi asilia kwa ujumla

Kina madhari nzuri na mazingira tulivu ya kujisomea ikiwa ni pamoja na ufukwe mwanana wa bahari ya hindi

Malazi ni bure kwa watakaoamua kukaa hostel

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba
+255759 593 633
+255655 032 290
+255758 379 035

Au tembelea tovuti ya chuo chetu
http://www.kaolecollege.ac.tz/





AIbEiAIAAABECL6Jr7T8r_XGoAEiC3ZjYXJkX3Bob3RvKihkZjI2MGRjYzhmMzhmNWE0MDJkMTRmNTU3NzJhNTRkNTYyYzc3ZjAzMAE1XgbYwlvrkfsDfyxu1jlkx6Q7ig
 
Back
Top Bottom