SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,971
- 13,674
Mkuu, heshima yako.Wewe ukiona GENTAMYCINE ama anasifia kitu fulani au Mtu fulani au anakisiliba au anamkosoa basi jua 100% ni correct kwani huwa sibahatishi na sijawahi kubahatisha. Kwa matatizo ya ' Chunusi ' kama huna aina yoyote ile ya ' Pepo ' au ' Nuksi ' basi Sabuni za Family au Citrus ndiyo ' Kiboko ' yake.
Kuna family za mche na hizi zinazokuwa kwenye pakti.
Sijajua unazomaanisha.
Msaada.