kingkunta3
Member
- Sep 27, 2017
- 84
- 44
hiz fnya kma huzioni ukizimaind ztrefuk mpk kweny pua.
aaaaaaahiz fnya kma huzioni ukizimaind ztrefuk mpk kweny pua.
Dawa yke n kupambn n hal yk 2 uzung sumu.hqhaa
aaaaaaa
Hapana mkuunzur hyo,vp ushawah tumia asali au magadi?
Ndo bei gani hzo
Cetaphil 40,000Ndo bei gani hzo
Tumia NIVEA Cream ipo poa sana utaipenda au tumia mafuta ya nazi safi weka drop 3 halafu paka usoni.Mimi pia nilizipata mwaka huu toka mwezi wa kwanza, zilinikosesha amani kabisa nimebadili sana mafuta, rotion, sabuni lakini wapi.
Nikaamua kutumia limao na sabuni ya Asantee ya ukwaju. Nanawa USO Kwa sabuni hiyo kisha nachukua limao nakata vipande viwili naanza kusugua usoni, lilikuwa nafanya hivyo Mara mbili Kwa siku na chunusi zikakauka.
Sasa yamebaki mabaka lakini pia yanapungua. Siku hizi nasugua limao Mara moja hadi mbili Kwa wiki na USO upo soft.
Ila ninachangamoto ya mafuta gani nitumie nisipate chunusi sitaki lotion kwani asilimia kubwa ya lotion nikipaka usoni naumwa sana macho.
Asante
Kama Uso wako wenyewe ndiyo huo wa katika Avatar acha tu ubabuke Mkuu. Una uso mbaya utadhani ugoko wa Kifaru bhana!
Nashukuru mkuuTumia NIVEA Cream ipo poa sana utaipenda au tumia mafuta ya nazi safi weka drop 3 halafu paka usoni.
Pia jaribu sabuni ya Dettol anti bacteria inasaidia sana. Mimi hutumia mara 3 kwa wiki.Nashukuru mkuu
Nrafanyia kazi
Asante sana. Mafuta tu ndilo tatizo kubwa kwangu kwani kwasasa sipaki sipaki chochote.Pia jaribu sabuni ya Dettol anti bacteria inasaidia sana. Mimi hutumia mara 3 kwa wiki.
Hizo bidhaa nimetumia mpaka nimechoka lakini matokeo 0%Daah nakumbuka mbali saana chunusi , ZOA ZOA grace sabuni na lotion iko poa pia
Samahani ndugu, hivi ingrams zpo za aina nyingi au ni moja tu??Tumia ingrams lotion mkuu utapata matokeo mazur tu.. Mm nmetumia na zimeisha zote au nenda duka la dawa za asil watakuwa na majibu juu ya tatizo lako
Kweli mkuuHizo bidhaa nimetumia mpaka nimechoka lakini matokeo 0%
Bado mkuumkuu vp tatzo lako ulipatia ufumbuz?