white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,323
- 2,487
wakikujibu unitagHebu fafanueni
wakikujibu unitagHebu fafanueni
Umenena mkuu! Nilisumbuliwa na chunusi kwa zaidi ya miaka kumi. Nilimaliza hizo persol zote, oriflame ma package kwa ma package, dawa za asili, hosp nilienda mpaka nikachomwa masindano nsiyoyajua ila hatimae mwaka huu nikaenda kujaribu kwa prof mgonda aghakan....sina la kusema ila kila mtu haamini akiniona! Acnotin ni vidonge mujarab kwa machunusi sugu maana mimi yalikuwa makubwa makubwa, yakicharuka napata mpaka homa!! Nilikuwa na chunusi zinatunga usaha basi hata kula na watu nlikuwa naona tabu maskini ila nw...kweli mungu ni mwema! Ila ushauri wangu ni kwamba asinywe mpaka amuone dr, mi nilianza na 1×2, mpaka 3×2 na prof alinambia namnukuu 'tatizo sio hosp ngapi umeenda au dawa gani umekunywa, tatizo ni utoaji dozi lazima uwe na utaalam nao...'1.Nenda hospitali kwa dokta wa ngozi.
Au nunua acnotin mg20 kunywa 1×2 kwa siku 30
Nawia sabuni ya jamaa au sabuni yoyote isiyo na kemikali sana
Pakaa Hydrogenperoxide (dawa ya vidonda) na pamba usoni kaa nayo kwa dakika 20 then nawa na maji ya uvuguvugu
Pakaa Epiderm Cream Usoni asubuhi na jioni
Acnotin ni kwaajili ya chunusi
HydrogenPeroxide na Epiderm cream ni kwa madoa
Usipopona ndani ya mwezi basi umerogwa ndugu.
Natamani ningetuma picha zangu za before na after ila ndo hivo tena tushaamua kujificha nyuma ya pazia ila kwa herufi kubwa nakwambia Acnotin vidonge ni the best ila upate dr apime uzito wako na ukubwa wa tatizo lako then akupangie dozi. Utakuja kuturingishia humu. Hizo biashara za watu tupa kule zitawapotezea hela na muda mi walinila si haba!Daah Tusaidieni basi wahanga wa haya mambo,
Mnatuchanganya Mjue mara tumia hichi mara nenda kule full mvuruganooo. which is which????
mmmh mimi mwaka wa 13 huu nasumbuliwa na hilo tatizo,sema nimegugo hiyo dawa hadi nikaogopa.Umenena mkuu! Nilisumbuliwa na chunusi kwa zaidi ya miaka kumi. Nilimaliza hizo persol zote, oriflame ma package kwa ma package, dawa za asili, hosp nilienda mpaka nikachomwa masindano nsiyoyajua ila hatimae mwaka huu nikaenda kujaribu kwa prof mgonda aghakan....sina la kusema ila kila mtu haamini akiniona! Acnotin ni vidonge mujarab kwa machunusi sugu maana mimi yalikuwa makubwa makubwa, yakicharuka napata mpaka homa!! Nilikuwa na chunusi zinatunga usaha basi hata kula na watu nlikuwa naona tabu maskini ila nw...kweli mungu ni mwema! Ila ushauri wangu ni kwamba asinywe mpaka amuone dr, mi nilianza na 1×2, mpaka 3×2 na prof alinambia namnukuu 'tatizo sio hosp ngapi umeenda au dawa gani umekunywa, tatizo ni utoaji dozi lazima uwe na utaalam nao...'
mmmh mimi mwaka wa 13 huu nasumbuliwa na hilo tatizo,sema nimegugo hiyo dawa hadi nikaogopa.
side effects zake ni nyingi na zinatisha kwa kweli tena esp kwa sisi wanawake(inapelekea infertility),nahisi ndomana madoctor wengi hawarecommend hiyo dawa.
mkuu vp tatzo lako ulipatia ufumbuz?Nina sumbuliwa na chunusi yapata miaka saba sasa,nilishauriwa nisipake mafuta yoyote usoni lakini bado haijasaidia.Naona usoni nimekua na madoa na chunusi bado zipo. Nimeshauriwa nitafute clairmen cream,lakini naona ina hydroquinone ambayo wataalam wanasema so nzuri kwenye ngozi. Msaada wenu tafadhali, cream/lotion ninayoweza kutumia maana Uso hautamaniki. Mimi ni mwanaume,rangi ya ngozi yangu,maji ya kunde.
Husika na kichwa cha thread hapo juu,lengo la huu uzi ni kutaka kusaidiana juu ya dawa zilizoweza kutumiwa na watu mbalimbali humu na kupona chunusi..Karibuni.
zile c chuusi,ni manunduFid Q ana majibu mubashara kabisa
hyo citrus, nishawah ickia pia kuhusu hiyo
umewah kubahatisha kitu flani hiviii,, ikabd nikushushe cheo ,toka captain had v 2Wewe ukiona GENTAMYCINE ama anasifia kitu fulani au Mtu fulani au anakisiliba au anamkosoa basi jua 100% ni correct kwani huwa sibahatishi na sijawahi kubahatisha. Kwa matatizo ya ' Chunusi ' kama huna aina yoyote ile ya ' Pepo ' au ' Nuksi ' basi Sabuni za Family au Citrus ndiyo ' Kiboko ' yake.