Chungu ndio nini enyi wenyeji wa Kaskazini?

Dusko Tadic

Senior Member
Nov 22, 2014
171
96
258dd7826d18e5d4e43abc0970207892.jpg
 
ukivunjiwa chungu pori advertise ya kwanza kama nyumba yako imepakana na mti wenye majani unakauka na kuwa kuni ghafla.
 
Kuvunja chungu ni mila ambayo wanafanya sana watu wa kanda ya kaskazini. kidogo inafanana na ila wanayoita albadili. yaani kama umemdhulumu mtu, au umetendea ndivyo sivyo basi mlalamikaji atakupa notisi, baada ya hapo wanakwenda kufanya madawa ambayo yanaweza kuua ukoo wako wote au wewe mlengwa. Ni mila ambayo wanaipenda sana watu wasioamini dini za kigeni (wapagani).
 
Back
Top Bottom