BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Kumbe watu wanafahamiana na kutangazana bana? Nimesitisha mipango yote ya kurubunika kuanzia sasa.
Shaurilo
Ukirubunika tu utatangazwa
Mwisho uje kwa Id mpya
Hahahah
Hata akibadili tunaendelea tyu kumention hii hii
ujue id iliopotea ukiimention tu mwenye nayo anaibuka hapo hapo ha ha ha
Hahaha sikuwa nimelinoti hilo
Utanifanya nianzE kuchunguza sasa
Mpendwa jitahidi nawe ufahamiane hata ukitangazwa ilmradi umefahamiana
Shaurilo
Ukirubunika tu utatangazwa
Mwisho uje kwa Id mpya
Hahahah
Hahaha. Huku bana hukawii kutangazwa na sekunde zako 5. Si kuzuri kabisa.
.
Hahaha. Huku bana hukawii kutangazwa na sekunde zako 5. Si kuzuri kabisa.
Si ndio. Na for a consistent tone like mine, Id mpya inakuwa busted kwa sekunde tu.
Ndo ujifue kwa kitunguu saumu, asali, karanga mbichi, mihogo na maparachichi
ili badala ya kutangazwa story iwe tofauti lol
Aah Aah Aah I hope your not talking about my "rubuni". Coz I'm for real....
My gelofriend Evelyn Salt wewe ndo wa kuniharibia hivi rubuni langu kwa Paulo, unajua nilivyohangaika kumrubuni huyu mpendwa? Nimeghairi kukuletea lile zubeda
Na reporter wangu itabidi u@BADILI TABIA ya kuniharibia rubuni teh. Kumekucha kwa muke ya muzungu
Awwwwww I reserve my comment...[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]No way i'm backing down. You and I, we heavenly approved baby. I was just letting your competition know, so they cross me off their lists.
Kumbe watu wanafahamiana na kutangazana bana? Nimesitisha mipango yote ya kurubunika kuanzia sasa.
Teh teh..Boss ukipata nafasi ya kufahamiana na mtu wa humu,nenda kapige show matata hata akija kutangaza anakuletea wengine
Ngoja namimi nibadili ID nianze kuomba hela wakaka....
Gelofriend ukifahamiana ulete mrejesho tafadhaliAah Aah Aah I hope your not talking about my "rubuni". Coz I'm for real....
My gelofriend Evelyn Salt wewe ndo wa kuniharibia hivi rubuni langu kwa Paulo, unajua nilivyohangaika kumrubuni huyu mpendwa? Nimeghairi kukuletea lile zubeda
Na reporter wangu itabidi u@BADILI TABIA ya kuniharibia rubuni teh. Kumekucha kwa muke ya muzungu
Aaah huyu paulo tutamdiscuss tu, Hamna haja ya kumtangaza. Maana hamna publicity mbaya, ntamsema anatambaa kama chatu, ila kuna kina thomaso watataka wathibitishe so tutakuwa tumemuongezea wateja. Ni kumfanyia tu discussion sisi wawiliGelofriend ukifahamiana ulete mrejesho tafadhali
Gelofriend ukifahamiana ulete mrejesho tafadhali
Aaah huyu paulo tutamdiscuss tu, Hamna haja ya kumtangaza. Maana hamna publicity mbaya, ntamsema anatambaa kama chatu, ila kuna kina thomaso watataka wathibitishe so tutakuwa tumemuongezea wateja. Ni kumfanyia tu discussion sisi wawili