[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] usimdanganye mdada wa watu atakufa mapema nakuambiaKuna kiti alijifanya anataka hela na pombe, nikalivuta Panga alitoka mbio. Siku ya pili alinifata na kuniuliza jana ulitaka kuniuwa na lile Panga? Nikamuuliza ulijuaje na wewe ulipandisha mashetani?. Hii mbinu kwa wadada ukiona mwanaume wako kapandisha mashetani mtie kidole cha tigo. Hapo utajua kama kweli Kiti au kigoda dadeki zake
KITI hupewa ulinzi maalum na jini wake hivyo hawezi kudhurika na lolotemshana jr
Kiti anapoamriwa kuondoka safari za usiku kwenda hata mlimani au kijiji flan cha mbali, je; Jini huyo humlinda kiti wake ili asidhurike ama inakuaje? Maana anaweza kutana na maswahibu mfano kukutana na wanyama wakali au kunyeshewa mvua ya mawe? Inajuaje hapo, na je una mfano halisi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuna kiti alijifanya anataka hela na pombe, nikalivuta Panga alitoka mbio. Siku ya pili alinifata na kuniuliza jana ulitaka kuniuwa na lile Panga? Nikamuuliza ulijuaje na wewe ulipandisha mashetani?. Hii mbinu kwa wadada ukiona mwanaume wako kapandisha mashetani mtie kidole cha tigo. Hapo utajua kama kweli Kiti au kigoda dadeki zake
Jini huwa dormant mpaka anapotaka kutumia KITI wake hivyo vitu kama magonjwa haya ya kawaida humpata KITI. Jini hana uwezo wa kuzuia kifo kitokanacho na MwenyeziMungu.. Ila vifo vitokanavyo na husuda za duniaJe kiti huumwa magonjwa ya kawaida ya binadamu, akiumwa kiasi cha kupoteza fahamu, jini lina uwezo wa kuwendelea kufanya kiti kuw active japo mhusika kapoteza fahamu kwa kuumw?
Jini anaweza kuishi kwenye kiti cha mtu aliyefariki, yaani jini aingie kwenye mwili wa marehemu na kuuamsha na kuutumia km kiti?