Chunga sana simu yako, mjini hapa ohooooH!!!!!!

tabu itakuja pale utakapo poteza funguo ila hiyo haisaidii pale utakapopigwa roba ya mbao
 
Usikute gharama ya hiyo simu sawa na bei ya kiwanja mbagala
 
shati linaonesha jamaa katoka villa na kaambiwa mjini kuna wizi wa simu. :lol:
 
wa roba ya mbao baba wanaondoka na mkanda wote tena ikiwezekana na suruali mkuu.. hapo hata uweke password ya kombe la dunia wanatambaa nayo tu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…