[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]Aisee kumbe, ila kinachonishangaza kuna chumvi nyingine huruhusu nyasi kuota, tena unakuta ni laini na zenye afya kweli.
High blood pressure.Hapa nimeingia hapanihusu maana situmiagi chumvi, ngoja nipite
Sio Tanga hiyo! Kisosora lineNjia ya kwenda Uvinza.