Chumvi ya SEA SALT Hatari kwa Afya- Meneja wa Kiwanda Akamatwa

Duh! Itakuaje kwa sisi wala chipsi? Maana unawekewa chumvi kwenye sahani hata mfuko huuoni ili uchunguze ni chumvi aina gani
 
Mkuu majibu yao uliyaamini kwa vigezo gani isije ikawa umejibiwa kisiasa.
 
Juzi TV zimeonesha chumvi hii, na kusema kiwanda kimefungiwa, so please this is confirmed
 
Mkuu majibu yao uliyaamini kwa vigezo gani isije ikawa umejibiwa kisiasa.

Asilete ubishi et kampigia mmoja wa wakurugenzi,Itv iliwaonyesha maafisa wa Tbs wakitangazia umma kwamba wamechukuwa sampo maduka tofaut na kuchukuwa chumvi kiwandani (sampo) na kuzipima nakubaina chumvi hii haifai kwa matumizi ya binadamu imekosa kiwango sahihi ya madini joto,.aende akaongee na tbs na co anampigia rafiki ake alie soma nae alafu et mamlaka ya chakula na dawa tofauti,wenye mamlaka ya kuthibitisha viwango ni tbs ww mtuuuuu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…