Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Yah! inaitwa THE PAINTER OF WIND
sijui kama itakuwa nzuri kama JUMONG.labda tuendelee kuicheki kwanza
Yah! inaitwa THE PAINTER OF WIND
Imeanza kwa mbwembwesijui kama itakuwa nzuri kama JUMONG.labda tuendelee kuicheki kwanza
Hahahahahaa!!! Si siri mkuu, Jumong, the prince of legend, ni bonge la tamthilia ambayo kwa nchi kama zetu zina kila kitu cha kujifunza!! si tu kwamba inaburudisha, ni bonge la darasa hususani kwa watu walio kwenye nyanja za uongozi!!! Ni full usaliti, hujuma, uasi na mambo kama hayo!!!!Thanks, nitaitafuta. Nilichoshwaga na kina babarita na lamujer demi vida
kweli imeanza kwa mbwembwe ,inaelekea malikia yule noma sana.ndio muanzisha tafurani ikuluImeanza kwa mbwembwe
Yah! Alaf anaonekana ana sauti sana kuliko mfalme...kweli imeanza kwa mbwembwe ,inaelekea malikia yule noma sana.ndio muanzisha tafurani ikulu