chumba sebule

island

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
1,060
827
chumba sebule tajwa hapo juu kinatafutwa , kama kina self itakuwa vizuri zaidi, gari moja kuja posta dar es salaam liwe chaguo la kwanza

NI PM kama kipo available
 
chumba sebule tajwa hapo juu
kinatafutwa , kama kina self itakuwa vizuri zaidi, gari moja kuja posta
dar es salaam liwe chaguo la kwanza

NI PM kama kipo available

Njoo kigamboni, kuna chumba na sebule plain 70,000 na chumba/sebule self 150,000 zote miezi sita kodi. Gari moja 400 mpaka ferry, kivuko 200.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom