Chumba na Sebule vinapatikana tabata kimanga.

Chumba na Sebule vinapatikana tabata kimanga.

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,058
Reaction score
2,159
Wanajf,Chumba na sebule vinapatikana kwa bei nafuu sana.Elfu 70 kwa mwezi so utalipia jumla ya 420,000/=tu kwa miezi sita(6).Nyumba hipo karibu sana na barabara ya tabata mawenzi/kimanga.Haina tiles ndani but chooni zipo,Choo mtashare wapangaji wa familia mbili tu.
N.B:Mwenye nyumba anapendelea mpangaji mwenye mke/mume.Umeme utalipa kutokana vifaa utakavyokuwa navyo.
0756 587175.
Nawasilisha
 
Nawashukuru wote,NIMESHAPATA MPANGAJI.AHSANTEN SN
 
Back
Top Bottom