chumba na sebule vinapangishwa

Ahlan

Member
Sep 30, 2013
31
95
wadau kuna nyumba inapangishwa tandale yemen kituon hapo hapo nimelipia kodi miezi 8 lakin nimehamishwa kikazi so nataka mtu arejeshe kodi yangu tu....na unasaini mkataba mwenyewe mwezi january.....tarehe 1.....nyumba ipo kitiuon kabisa ina geti na ulinzi wa kutosha kwa usalama wa mali zako......choo kipo nje lakin ni cha mpangaji mmoja ;;;na luku ni ya mpangaji hatoshare na mwenye nyumba,,,maji yapo karibu tu na nyumba.....kwa anaehitaji piga 0658904648
 
kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
589
0

eeka email address na picha ya nyumba taf.
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
14,500
2,000
Tafuta Manzi mwache hapo unakuwa kama vile umempangashia uwe unajilia mzigo kila ukija Dar. But unamwambia kabisa umempangishia miezi Nane tuu baada ya hapo anaanza kujilipia yeye mwenyewe.
 
maleka

Senior Member
May 23, 2013
143
195
wadau kuna nyumba inapangishwa tandale yemen kituon hapo hapo nimelipia kodi miezi 8 lakin nimehamishwa kikazi so nataka mtu arejeshe kodi yangu tu....na unasaini mkataba mwenyewe mwezi january.....tarehe 1.....nyumba ipo kitiuon kabisa ina geti na ulinzi wa kutosha kwa usalama wa mali zako......choo kipo nje lakin ni cha mpangaji mmoja ;;;na luku ni ya mpangaji hatoshare na mwenye nyumba,,,maji yapo karibu tu na nyumba.....kwa anaehitaji piga 0658904648

please nahitaji sana nyumba mkuu,,kodi yangu inaisha mwezi huu mwishoni na nlipenda nihame,,naomba kufaham bei yake p'se.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom