CHUMBA NA SEBULE VINAHITAJIKA GONGO LA MBOTO.

CHUMBA NA SEBULE VINAHITAJIKA GONGO LA MBOTO.

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
578
Reaction score
575
nahitaji chumba cha kupanga kiwe chumba na sebule eneo kuanzia banana hadi gango la mboto
iwe na mita inayo jitegemea
nyumba isiwe na wapangaji wengi.
nisaidieni ndugu zangu
 
mkuu huko labda 70000
Kipo banana, KITUNDA
Chumba master, sebule na kajiko.
Ndani ya fensi
Maji bure
Umeme unajitegemea
Unapanda gari moja mpaka gerezani, m/moja au kivukoni
Kodi 100k (kwa mwezi)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom