Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,596
- 1,865
Chumba na Sebule Mjimwema Bei ni 80000 kwa mwezi, Kigamboni, ukishuka stendi ya mjimwema kabisa, atua 10 tuu kutoka kwenye lami !! Hatua 50 kutoka baharini,jirani na sunrise beach na south beach, sehemu nzuri ya kupunzika, uwani pana sakafu kabisa, vyoo safi, maji yapo jirani hatua 5 tuu. Vyumba vipo uhani unarudi muda wako unaotaka.Hakuna wizi wala vurugu.Huduma zote muhimu zipo karibu. Zaidi piga 0715812160 au 0764452424