Habari wana jf,
Natafuta nyumba ya chumba kimoja na sebule kwa maeneo ya Mwenge, Makumbusho, mbezi mbezi ya tangbovu hata africana(tegeta) si mbaya.
Sifa:
1.Kiwe na choo ndani
2.Maji hapo hapo
3.Parking isipokuwepo siyo ishu sna
Budget yangu ni 150000 mpaka 200000 kwa mwezi.
Ni pm ama contact me on +255713968649