Chumba cha wageni

Ukitaka kukojoa unakuwa na kisado au unamwaga gharika aliyoko chini hamna nani kabisa...
 
Yaelekea Nyumba bado iko kwenye matengenezo na anaelala hapo pengine Mlinzi, au Fundi/Mafundi.

Hii inanikumbusha kipindi niko Mdogo, Mjengo wetu makazi mapya wakati unajengwa kitambo hiyo Walinzi wa Mijengo walikuwa Wamakonde na si Wamasai kama siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…