sinza ndo ucthubutu laki 1Kuna anaejua bei ya vyumba Sinza huku around School of Law?
Nahitaji chumba cha kupanga ubungo garama iwe 30,000 maji yawe karibu contact 0712859430.
Nahitaji chumba cha kupanga ubungo garama iwe 30,000 maji yawe karibu contact 0712859430.
Ona huyu naye sijui ndo ameanzisha mada gani hapa? Hii forum ni ya nafasi za kazi na tenda. Wewe unatuletea habari ya vyumba. Akili yako iko sawa kweli?
kwani tenda nini?we nae unajifanya unaijua jf kuliko anayeimiliki na mods wake khaaa!we mwenye akili kwa nini usimueleshe asiokuwa na akili aipeleke wapi?mbona mods wameiacha?acha kashfa
toeni mada za kipuuzi hii humu ni ajira tu kama unataka chumba tafuta dalali we wa wapi wewe?halafu huna hata aibu na hyo 30000 elfu yako unaweka masharti et maji yawe karibu....ushaona 30 ni hela sana...hyo hata ukienda mbagala wanakutoa nduki
Kaazi kweli kweli.mkubwa hapa ni kazi na tenda na sio ajira tu,sioni upuuzi wake uko wapi?hata hapa madalali wanapatikana tena bila kusumbuka kuulizia.
Safi sana brother. Tupo pamoja.toeni mada za kipuuzi hii humu ni ajira tu kama unataka chumba tafuta dalali we wa wapi wewe?halafu huna hata aibu na hyo 30000 elfu yako unaweka masharti et maji yawe karibu....ushaona 30 ni hela sana...hyo hata ukienda mbagala wanakutoa nduki
Kaazi kweli kweli.
Wee endelea tu kunifatafata. Mii nimo humu ndani ya JF toka 2007. Karibu sana.
Safi sana brother. Tupo pamoja.
Ona huyu naye sijui ndo ameanzisha mada gani hapa? Hii forum ni ya nafasi za kazi na tenda. Wewe unatuletea habari ya vyumba. Akili yako iko sawa kweli?
sinza ndo ucthubutu laki 1
utawajua tu kama si mavazi hata kwa maandishi sa paka na panya wanafuata nini jukwaa la tenda na kazi?au unatafuta tenda ya paka na akakumatie panya?
Wee endelea tu kunifatafata. Mii nimo humu ndani ya JF toka 2007. Karibu sana.