Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,587
- 1,858
Natafuta Chumba cha kupanga
Eneo: Kinondoni Manyanya/Studio yaani sehemu itakayokuwa rahisi kupata gari za posta. Morocco, Mbuyuni, Posta yaani Alongside ali Hassan Mwinyi road kuanzia posta mpaka maeneo ya Victoria ilimradi iwe rahisi kupata gari la posta.
Chumba kiwe self contained, maji na umeme usiwe wa shida, Ntapendelea kikiwa ndani ya nyumba ambamo kuna fensi sababu mimi nasafiri alot so nahitaji sehemu yenye usalama.
Kodi: 100,000 - 150,000 kwa mwezi kodi miezi 6/Mwaka.
Kama unacho ni PM kwa mawasiliano zaidi