CHUMBA CHA KUPANGA KINAPATIKANA:

CHUMBA CHA KUPANGA KINAPATIKANA:

Fundi umeme

Senior Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
116
Reaction score
24
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu napangisha Chumba kimoja kukubwa sana eneo kilipo kipo kimara kilungule mwendo wa dk 5 kwa bajaji adi barabara kuu ya morogoro sifa ya chumba kina ukubwa wa 13 kwa 12 na kina umeme ,rangi ,siling board na dirisha kubwa la nyavu na Maji yapo masaa yote bei ya chumba ni tsh 50,000 kwa mwezi na tunapokea kuanzia kodi ya miezi 6 na kuendelea mawasiliano 0715505115 na 0753505115.
 
Back
Top Bottom