squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,193
Ndio hapo sasa.Mvua ikija je?
Kama kingekua bongo hiki si misele ingekua haiishi kwa wapiga chabo na wapiga puliKinapatikana milima ya Alps, nchini Swiss! Kulala hapo usiku mmoja ni dolar za marekani 260.
Vituko haviishi duniani.
View attachment 864091
View attachment 864093
View attachment 864094
Note:
Mimi hunilazi hapo hata kwa jero ya Tz.
Una assume huonekani.Unafanyaje matusi?
Inaruhusiwa, huyo jamaa wamuona alikuwa na partner wake. Sijaweka tu picha wakiwa pamoja.kuingiza demu inaruhusiwa??
Hapa pangekuwa na misele mingi sana. Hapa bongo kwa gesti hausi tu ukijulikana ima viupenyo wazee wa chabo hawachezi mbali.Kama kingekua bongo hiki si misele ingekua haiishi kwa wapiga chabo na wapiga puli
Ije kutoka wapi??Mvua ikija je?
Hahahaaaaa! Waafrika ndio tulivyo mkuu, tusamehe.Wewe ukishaona kitanda tuu unawaza matusi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unafanyaje matusi?
Swali zuri sanaUnafanyaje matusi?