stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 529
Kwa kodi ya elfu themanini kwa mwezi naweza pata chumba cha namna gani hapa dar......
Ahsanteni.
Ahsanteni.
Kwa kodi ya elfu themanini kwa mwezi naweza pata chumba cha namna gani hapa dar......
Ahsanteni.
Manzese mkuu Money Stunna ila ningekuwa mwingi wa fadhila kama ungenipa general overview ya hii kitu kwa maeneo mbalimbali hapa dar.....Sehemu gani kwa mtogore,mbagala,kimara,mbezi,magomeni,tabata,au wapi?
Manzese mkuu Money Stunna ila ningekuwa mwingi wa fadhila kama ungenipa general overview ya hii kitu kwa maeneo mbalimbali hapa dar.....
Kwa Hiyo ela utapata room na sebule ata jiko pia na bafu
Ni lazima kitakua na mlango...
Ni sehemu gani unapata room ya namna hyo??
You should be playing arround!!!!!!!!!Na dirisha pia.
Vingweta,Gomz unapata hata KijitchiNi sehemu gani unapata room ya namna hyo??
Duh..........................Nenda chamazi chumba self elfu 40000 nyumba mpya mpya tu.
Ni lazima kitakua na mlango...
Kwa bei hiyo unapata vyumba viwili self contained ,maji bure na umeme bure..tv flat screen ya samsung 42 inch na dish ya dstv bure..[/QUOTE
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........................Kwa bei hiyo unapata vyumba viwili self contained ,maji bure na umeme bure..tv flat screen ya samsung 42 inch na dish ya dstv bure..
Si utarudia tena kusoma...Mambo? Nasoma kitabu cha mkataba ya kishetan nataman kisiishe