Chumba cha biashara Musoma kinahitajika. Pesa mtakato!!

Chumba cha biashara Musoma kinahitajika. Pesa mtakato!!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,807
Je, upo Musoma popote? Si lazima sokoni au center. Ninahitaji kupata chumba chenye uwezo wa kuweka mahindi ya tani 12. Tafadhari kama unacho weka namba yako nikutafute. Au ni-PM
Chumba kiwe kinafikika kwa magari, kiwe na usalama na kiweze kuchukua tani 12. Mwisho tar 1/10/14.
Asante.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom