Unafika darajani penye station ya Maji ya AUWSAWadau kuna chumba kimoja cha biashara kinapangishwa arusha maeneo ya sanawari ya juu ni pembeni ya barabara. ni bei ndogo sana shilingi 40,000/= na unaliipa kodi ya miezi mitatu kwa kuanzia. kwa maelezo zaidi piga namba 0787 356200. asanteni
yes ndio maana nimekupa namba za simu upigeUnafika darajani penye station ya Maji ya AUWSA